UMUHIMU WA FOLIC ACID KWA MAMA-MJAMZITO.
Folic acid ni vitamini iliopo katika kundi la vitamin B, vitamini hizi kazi zake husaidia mfumo wa fahamu katika ufanisi wake wa kazi, pia h...
DALILI HATARISHI KIPINDI CHA UJAUZITO
Ujauzito ni kitu kizuri kuwahi tokea katika maisha ya mwanamke pia ni baraka za mwenyezi mungu lakini uwepo wa ujauzito kwa kipindi chote ch...
JINSI YA KULALA MAMA-MJAMZITO.
Mwanamke anapokuwa mjamzito ni tofauti sana na kipindi hana ujauzito, mambo mengi hutokea kipindi cha ujauzito ambayo hubadilisha maisha ya ...
DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA
Kwa mama-mjamzito ni vyema kuzifahamu dalili za kifafa cha mimba ili aweze kuchukua hatua za ki-afya pale tu anapohisi hizi dalili, kwani k...
KIFAFA CHA MIMBA
Ni hali ambayo huweza kumtokea mama-mjamzito, wenye umri wa miezi mitano sawa na wiki 20, mwenye msukumo wa damu mkubwa wa kuanzia 140/90mm...
MAAMBUKIZI YA CORONA VIRUSI KWA MAMA-MJAMZITO
M wanamke akipata ujauzito kinga yake ya mwili hubadilika na kuwa chini hivyo kumuweka katika hatari ya kupata magonjwa mbalimbali katika...
DALILI ZA UJAUZITO
Mwanamke akipata ujauzito mwili wake hupatwa na mabadiliko ambayo haya mabadiliko huweza tumika kama dalili za ujauzito japokuwa sio kila ...
MIMBA
Mimba ni hali ya kubeba kijusi/vijusi vinavyokuwa na kuendelea tumboni mwa mwanamke. Mimba hutokea au hupatikana pale tu yai la kike na mbe...
KIPIMO CHA UJAUZITO (UPT)
Kipimo cha ujauzito hutumika kuthibitisha kama mwanamke ana ujauzito baada ya kuwa na dalili ambazo zinaashiria kuwepo kwa ujauzito, hiki...